11.12.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 11.12.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

11.12.2020 Matangazo ya Jioni

Aliyekuwa mbunge, wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, ambaye hivi karibuni aliomba hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Godbless Lema ametua nchini Canada// Mwendesha mashtaka wa mahakama ya kimataifa ya kushughulikia kesi za jinai ICC ameitolea mwito serikali ya Sudan kutekeleza wajibu wake kivitendo katika suala la kutafuta haki kwenye jimbo la Darfur.

Sikiliza sauti 59:59