11.10.2019 Matangazo Ya Mchana | Media Center | DW | 11.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

11.10.2019 Matangazo Ya Mchana

kamati ya Nobel imeamua kumtunukia tuzo yenye hadhi kubwa ya Amani ya Nobel, waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed//Mkutano wa pamoja wa wakuu wa majeshi ya Polisi kati ya Tanzania na Burundi unafanyika mkoani Kigoma magharibi mwa Tanzania kwa lengo la kupanga mikakati ya kudhibiti uhalifu na ugaidi

Sikiliza sauti 60:00