11.09.2019 Matangazo ya Mchana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 11.09.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

11.09.2019 Matangazo ya Mchana

Rais Donald Trump amfuta kazi mshauri wa masuala ya usalama wa kitaifa John Bolton/ Rwanda yachukua wakimbizi 500 waliokwama Libya/ UN, EU, Jumuiya ya Kiarabu zampinga Netanyahu kuhusu Ukingo wa Magharibi/ Tanzania imepokea faru weusi tisa kutoka nchini Afrika Kusini

Sikiliza sauti 60:00