1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.08.2022 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S11 Agosti 2022

Uchaguzi Mkuu Kenya 2022- Kaunti za Nakuru, Machakos na Kirinyaga nchini Kenya zimewachagua wanasiasa wanawake kuwa magavana, ambayo ni nafasi ya juu zaidi kwenye kaunti+++Upinzani Tanzania watoa maoni kuhusu uchaguzi wa Kenya++++Urusi yaelekeza nguvu kudhibiti Mashariki mwa Ukraine.

https://p.dw.com/p/4FPxn