1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.07.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S11 Julai 2019

Nchini Tanzania kauli ya waziri wa mambo ya nje Palamagamba Kabudi aliyoitowa akiwa nchini Uingereza kuhusu hatma ya mwandishi habari aliyetoweka zaidi ya mwaka na nusu Azory Gwanda, inazidi kukanganya na kuibua maswali mengi// Mkutano wa kimataifa kuhusu uhuru wa vyombo vya habari mjini London, Uingereza umekamilika// Rais Uhuru Kenyatta amewaagiza mawaziri wake kukoma kufanya vikao vya usiku.

https://p.dw.com/p/3Lw90