1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.07.2019 - Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S11 Julai 2019

Boti za Iran zimefanya jaribio lililoshindwa la kuikamata meli ya mafuta ya Uingereza. Mataifa 22 ya Magharibi yaitaka China kukomesha unyanyasaji katika jimbo la Xinjiang. Nigeria na Senegal zafanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya AFCON

https://p.dw.com/p/3LsoV