1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.06.2017 Taarifa ya habari asubuhi

Bruce Amani
11 Juni 2017

Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amefikia makubaliano na chama cha Democratic Unionist kuunda serikali mpya // Ndege moja ya EasyJet yalazimika kutua Ujerumani kutokana na wasiwasi wa usalama // Na Saif al-Islam Gaddafi, mwana wa kiume wa aliyekuwa kiongozi wa Libya Muamar Gaddafi, ameachiliwa huru kutoka gerezani

https://p.dw.com/p/2eT7V