1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.02.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S11 Februari 2021

Miaka 10 baada ya vuguvugu la mapambano ya Walibya yaliyoungwa mkono na jumuiya ya kujihami ya NATO kumuondowa madarakani na kumuua Moammar Ghaddafi, nchi hiyo ya Afrika Kaskazini bado iko katika dimbwi la matatizo,migogoro na vurugu// Kenya- Kaunti ya Mandera inakabiliwa na kuongezeka kwa hali ya wasiwasi kutokana na mashambulio yanayofanywa na kundi la itikadi kali la Al-Shabaab.

https://p.dw.com/p/3pCUA