1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.12.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S10 Desemba 2019

Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ametunukiwa tuzo ya amani ya Nobel leo mjini Oslo// Uongozi katika mataifa mengi yaliyoko barani Afrika umeimarika lakini mengi yanahitajika kufanywa ili kufikia malengo ya mwaka 2063// Tarehe kama ya leo mwaka 1963, Zanzibar ilipata uhuru kutoka kwa wakoloni wa Kiingereza, lakini serikali ya mseto ya vyama vya ZND na ZPP iliyoingia madarakani haikudumu sana.

https://p.dw.com/p/3UYv5