10.11.2017 Matangazo ya Jioni | Habari za Ulimwengu | DW | 10.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

10.11.2017 Matangazo ya Jioni

Katika mzozo wa Lebanon unaoendelea tangu alipojiuzulu waziri mkuu wa nchi hiyo Saad al Hariri, Waziri wa mambo ya nje ya Ujerumani Sigmar Gabriel amezungumza na mwenzake wa Saudi Arabia kumwelezea wasiwasi uliopo wa kuzuka kwa machafuko nchini Lebanon// Serikali ya Burundi imesema haitoshirikiana na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC.

Sikiliza sauti 60:00