1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.08.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S10 Agosti 2018

Hali ya utulivu bado inaendelea kuwepo katika Ukanda wa Gaza kufuatia machafuko ya siku mbili zilizopita kati ya jeshi la Israel na kundi la Hamas//Baraza kuu la Umoja wa Mataifa limemchagua leo Rais wa zamani wa Chile Michelle Bachelet kuwa Mkuu wa Tume ya Kutetea Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa wadhifa wa juu wa chombo hicho chenye makao yake makuu mjini Geneva.

https://p.dw.com/p/32zJG