10.07.2020 Matangazo Ya Asubuhi | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 10.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

10.07.2020 Matangazo Ya Asubuhi

Rais mpya wa Malawi Lazarus Chakwera amesema anataka kuhakikisha kuwa Wamalawi wote wanaishi katika nchi yenye uongozi unaowaunganisha na utakaotengeneza mazingira ya kila raia kupata mafanikio// Wanawake kutoka Lindi na Mtwara nchini Tanzania wanakabiliwa na changamoto za kudhulumiwa mali, kukosa haki na kushindwa kujisimamia pindi ndoa zinapovunjika

Sikiliza sauti 51:59