1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.07.2017 Taarifa ya habari asubuhi

Bruce Amani
10 Julai 2017

Waziri Mkuu wa Iraq Haider al-Abadi amewapongeza wanajeshi wa Iraq kwa kuikomboa Mosul kutoka mikononi mwa IS // Mwana wa Rais wa Marekani Donald Trump amesema alikutana na wakili wa Urusi baada ya babake kushinda uteuzi wa chama cha Republican // Na miili iliyooza ya wahamiaji 19 wa Misri imepatikana jangwani Libya baada ya gari lao kuhusika katika ajali

https://p.dw.com/p/2gFhD