10.06.2021 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 10.06.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

10.06.2021 Matangazo ya Mchana

Rais Joe Biden wa Marekani na Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson wanakutana mara ya kwanza+++Mawaziri wa fedha wa Tanzania, Kenya na Uganda leo hii wanawasilisha bajeti kuu za serikali kwa mwaka wa fedha wa 2020/2021+++Mauwaji yaendelea Congo licha ya sheria ya kijeshi+++UN: Ajira kwa watoto yaongezeka ulimwenguni+++Wahudumu wa malori wamulikwa juu ya utumikishwaji wa watoto Nakuru.

Sikiliza sauti 60:00