1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.06.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S10 Juni 2021

Tanzania- Rais wa Botswana, Mokgweetsi Masisi yuko katika ziara ya siku mbili+++Uganda itatumia hadi aslimia 38 ya mapato yake ya kitaifa mwaka ujoa wa kifedha kulipa madeni na riba za madeni ambayo nchi hiyo inadaiwa+++Serikali ya Kenya inalazimika kukopa kiasi cha shilingi bilioni 2.6 kufadhili operesheni zake kama inavyoelezwa kwenye bajeti ya mwaka 2021/22.

https://p.dw.com/p/3uixz