10.05.2021 DW Michezo | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 10.05.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

10.05.2021 DW Michezo

Baada ya Bayern kubeba taji lao la tisa mfululizo la Bundesliga, macho sasa yaelekezwa katika vita vya kufuzu nne bora na kuepuka kushuka daraka // Simba yageukia sasa mchuano wao wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Kaiser Chiefs baada ya mtangane na watani wao Yanga kupigwa kalenda// Na bado kuna wingu la sintofahamu kuhusu Michezo ya Olimpiki ya Tokyo

Sikiliza sauti 09:45