1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.05.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S10 Mei 2019

Chama tawala Afrika Kusini ANC kinangoza katika matokeo ya uchaguzi wa bunge// Marekani leo imeongeza kiwango cha ushuru kwa bidhaa za China hatua ambayo China imejibu mara moja ikisema italipiza kisasi// Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis ametangaza jana kanuni kuhusu kuripoti visa kuwanyanyasa watoto kingono.

https://p.dw.com/p/3IHh7