1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.03.2019 Taarifa ya habari asubuhi

Bruce Amani
10 Machi 2019

Polisi wakabiliana na waandamanaji wa pande zinazozozana kisiasa nchini Venezuela // Algeria imeamuru likizo ya mapema kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ili kujaribu kuyadhoofisha maandamano yanayoendelea // Na wanajeshi wengi wanaounga mkono siasa za mrengo mkali wa kulia Ujerumani walifutwa kazi kuliko ilivyodhaniwa

https://p.dw.com/p/3EjTD