Kampeni ya kukabiliana na mtandao wa dawa za kulevya nchini Tanzania sasa imeingia katika hatua mpya// Mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania TCRA imesitisha kwa muda usiojulikana huduma za televisheni za kwenye mtandao hadi mamlaka hiyo itakapokamilisha maanadalizi ya kile ilichokitaja kuwa kanuni za huduma hiyo// Kongano la pili na Biashara kati ya Ujerumani na nchi za Afrika limemalizika leo.