1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.12.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S9 Desemba 2021

Leo inatimia miaka 60 tangu taifa la Tanganyika ambalo sasa ni Tanzania lipate uhuru wake kutoka kwa Mwingireza+++Mwandishi wa habari wa DW Phillip Sandner anauliza je janga la virusi vya Corona linazidisha migogoro barani Afrika?+++Ujerumani imepata kansela mpya baada ya miaka 16. Naye ni Olaf Scholz wa chama cha siasa za wastani za mrengo wa kushoto, SPD.

https://p.dw.com/p/441Y9