1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.11.2019 - Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S9 Novemba 2019

Ujerumani inaadhimisha leo miaka 30 ya kuvunjwa ukuta wa Berlin. Mahakama ya juu ya India imetoa uamuzi kuhusu eneo la mzozo kati ya wahindu na waislam. Raia nchini Uhispania wanapiga kura leo katika uchaguzi mkuu mwingine.

https://p.dw.com/p/3Sk3N