09.09.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 09.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

09.09.2020 Matangazo ya Jioni

Hali ya kisiasa visiwani Zanzibar kabla ya uchaguzi/ Watanzania wametakiwa kutothubutu kusafiri kuelekea nchi jirani ya msumbiji bila kuwa na vibali halali zitazowatambulisha utaifa wao/ Ugiriki: Rais wa halmashauri ya Ulaya kuahidi msaada kwa wakimbizi baada ya moto kuharibu kambi ya wakimbizi/ Brexit: Umoja wa Ulaya umeionya Uingereza kwamba ina wajibu wa kuheshimu makubaliano ya kujiondowa

Sikiliza sauti 60:00