1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.09.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S9 Septemba 2020

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo: Hadi kufikia sasa ni machache yaliyofikiwa katika juhudi za amani/ Barani Afrika wasiwasi umeongezeka kutokana na matendo ya kikatili yanayofanywa na polisi/ Eneo la Sahel ya Kati limeshuhudia ongezeko kubwa la mashambulizi dhidi ya wanafunzi, walimu na shule/ Ethiopia: Jimbo la Tigray linafanya uchaguzi licha ya serikali kuu kukataza uchaguzi huo

https://p.dw.com/p/3iC7n