09.08.2020 - Matangazo ya Mchana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 09.08.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

09.08.2020 - Matangazo ya Mchana

Mji wa Nagasaki nchini Japan umeadhimisha maika 75 tangu shambulizi la bomu la nyuklia. Raia wa Belarus wanapiga kura leo katika uchaguzi muhimu wa rais. Viongozi wa mataifa kadhaa wanashirkki mkutano wa kuchangia fedha za kuisadia Lebanon.