1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.06.2021 Taarifa ya habari asubuhi

Bruce Amani
9 Juni 2021

Mahakama ya Umoja wa Mataifa yathibitisha hukumu ya mauaji ya kimbari dhidi ya jenerali wa jeshi la Serbia Ratko Mladic // Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lamuidhinisha Antonio Guterres kuhudumu kwa muhula wa pili // Na utekaji nyara wa watoto watumiwa kama mbinu ya kivita nchini Msumbiji

https://p.dw.com/p/3uc2d