1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.05.2021 Matangazo ya Jioni

Sudi Mnette
9 Mei 2021

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis ametoa wito wa kukomeshwa ghasia katika eneo la walowezi la mashariki mwa Jerusalem, ambako mapigano kati ya Wapalestina na polisi ya Israel yamesababisha idadi kubwa ya wapalestina kujeruhiwa.

https://p.dw.com/p/3tAiq