09.05.2019 Matangazo ya Mchana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 09.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

09.05.2019 Matangazo ya Mchana

Nchini Kenya rais na naibu wake wanajiandaa kuongezewa asilimia 3.9 ya mshahara// Kijana Mdude Nyagali, shabiki na mfuasi wa chama cha upinzani nchini Tanzania amepatikana leo katika eneo la Inyala, Mbeya vijijini// Mwili wa marehemu Dr Reginald Abraham Mengi uko katika kanisa la Kiinjili la Kiliuteri Tanzania, KKKT, usharika wa Moshi kwa ibada ya mwisho kabla kuzikwa baadaye leo.

Sikiliza sauti 60:00