1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.04.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S9 Aprili 2021

Rais wa Djibouti Ismail Omar Guelleh anatarajiwa kushinda muhula wa tano// Miongoni mwa sekta zilizoathirika kwa kiasi kikubwa kipindi hichi cha janga la korona nchini Kenya, ni sekta ya utalii na hoteli// Viongozi wa Urusi na China,Vladmir Putin na Xi Jingping wanazidi kujiimarisha kwenye nafasi zao.

https://p.dw.com/p/3rlEg