09.02.2021 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 09.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

09.02.2021 Matangazo ya Mchana

Kesi ya Trump kuanza leo wakati mawakili wake wakikosoa/ Ethiopia yawaruhusu wafanyakazi wa kiutu kuingia Tigray/ Maelfu ya waandamanaji wamemiminika mitaani nchini Myanmar wakikaidi sheria mpya/ Tanzania imetaka Umoja wa Afrika kuitambua lugha ya Kiswahili kama lugha ya asili ya Afrika

Sikiliza sauti 60:00