1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.02.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S9 Februari 2021

CCM yasema Rais Magufuli kutoongeza muda madarakani/ Bobi Wine awasilisha mahakamani rufaa iliyorekebishwa/ Ethiopia: Ni ahueni kwa wakaazi wa jimbo la Tigray baada ya serikali kuyaruhusu mashirika ya Umoja wa Mataifa kuwatuma wafanyakazi zaidi wa misaada/ Vyombo vya habari Tanzania vyatakiwa kupinga rushwa ya ngono/ Tanzania yataka Kiswahili kitambuliwe lugha ya asili ya Afrika > Mahojiano/

https://p.dw.com/p/3p89a