1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.12.2019: Matangazo ya Mchana

Lilian Mtono
8 Desemba 2019

Sikiliza matangazo ya mchana hapa na miongoni mwa utakayoyasikia ni Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Ali Mufuruki afariki dunia nchini Afrika Kusini, Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson aahidi kupunguza kiwango cha wahamiaji iwapo atashinda uchaguzi na Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Annegret Kramp-Karrenbauer ataka Urusi kuchunguza zaidi mauaji ya raia wa Georgia yaliyotokea Berlin.

https://p.dw.com/p/3UPKz