08.10.2019 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 08.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

08.10.2019 Matangazo ya Jioni

Trump anaendelea kuutetea uhusiano wa Washington na Uturuki/ Berlin: Wanaharakati wa mazingira waliandamana kushinikiza hatua zaidi za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa/ Polisi Ujerumani wachunguza kisa cha lori lililoibiwa/ Sudi Mnette kuitathmini hali ilivyo miaka miaka 30 baada ya kuuangushwa ukuta wa Berlin

Sikiliza sauti 59:59