1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.09.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S8 Septemba 2021

Taliban yatangaza serikali mpya ya mpito Afghanistan/ Guinea: Kikosi maalum cha jeshi kimewaachia huru wapinzani kadhaa wa kisiasa/ Kenya: Makabiliano makali kati ya polisi na kundi la watu wenye silaha katika eneo la Laikipia/ Shirika la IMF limetoa mkopo wa dharura unaokaribia dola za Marekani milioni 600 kwa Tanzania/ Brazil: Maelfu ya wafuasi wa Bolsonaro wameitikia wito wake kuandamana

https://p.dw.com/p/404Op