1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.09.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S8 Septemba 2020

Matumizi ya mafuta kama silaha ya vita yameongeza makali mateso wanayopitia raia wa Libya/ Kutokuwepo na umoja kuhusu sera ya wakimbizi katika nchi za Umoja wa Ulaya imesababisha wakimbizi wengi kuachwa wakiwa wametelekezwa/ Tanzania: Serikali mkoani Singida imeanzisha mpango wa kufundisha elimu inayohusu masuala ya afya ya uzazi la lishe kwa wanafunzi wa sekondari kwa njia ya televisheni

https://p.dw.com/p/3i8f3