1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.08.2018: Asubuhi- Taarifa ya habari

John Juma
8 Agosti 2018

Mgombea urais atakayepeperusha bendera ya muungano wa vyama vinavyomuunga mkono rais Joseph Kabila kutangazwa leo. // Rais Donald Trump wa Marekani ameyaonya mataifa mengine dhidi ya kufanya biashara na Iran baada ya kuiwekea nchi hiyo vikwazo vipya. // Mvutano wa kidiplomasia kati ya Saudi Arabia na Canada wazidi kutokota

https://p.dw.com/p/32n1n