1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.07.2018: Matangazo ya Jioni Saa 12:00 (Afrika Mashariki)

SK2 / S02S8 Julai 2018

Jumla ya wavulana 6 miongoni mwa 12 pamoja na kocha wao waliokwama ndani ya pango nchini Thailand wameokolewa. //Zaidi ya wafanyakazi 18,000 wa serikali nchini Uturuki, wamefutwa kazi wakitajwa kuwa kitisho cha usalama wa taifa. //Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amewasili nchini Eritrea, kwa mazungumzo yanayolenga kurejesha mahusiano baina ya nchi hizo.

https://p.dw.com/p/312rr