08.01.2021 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 08.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

08.01.2021 Matangazo ya Jioni

Onyo kali latolewa kwa watakaoanzisha vurugu wakati wa Uchaguzi Uganda// Wanasiasa kadhaa na washirika wa muda mrefu wa Naibu Rais wa Kenya William Ruto wamezindua chama kipya cha siasa leo kiitwacho UDA// Mkataba Mkubwa wa reli watiwa saini kati ya China na Tanzania// Shirika la Frontex lalaumiwa na wakimbizi na wahamiaji kwa kuhusika na kuwarudisha makwao kinyume cha sheria.

Sikiliza sauti 59:59