1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.12.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S7 Desemba 2021

Burundi: Moto mkubwa umelitekezeta gereza moja lenye idadi kubwa ya watu/ Congo: Vital Kamerhe ameachiwa kutoka kizuizini/ Ethiopia yadai kuidhibiti miji miwili kutoka kwa waasi/ Maelfu ya wasichana, wanawake walitekwa Msumbiji- Ripoti/ Kenya: Pendekezo kushinikiza kurejeshwa kwa adhabu ya viboko mashuleni na pia kufutilia mbali shule za mabweni limepokelewa kwa mchanganyiko wa hisia na raia

https://p.dw.com/p/43veX