1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.12.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S7 Desemba 2021

Watu 38 wateketea kwa moto kwenye gereza kuu Burundi/ Nairobi: Afisa mmoja wa polisi amewaua watu sita kwa kuwapiga risasi kisha na yeye akajitoa uhai/ Congo: Mjadala wa kuachiwa katika mazingira ya utatanisha Vital Kamerhe, aliyehukumiwa kifungo kwa ufisadi bado unaendelea/ Israel yafanya shambulio katika bandari ya Syria

https://p.dw.com/p/43xO2