1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.12.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S7 Desemba 2018

Miaka 18 ya enzi ya Kansela Angela Merkel kama mwenyekiti wa chama cha kihafidhina cha Christian Democratic Union CDU imemalizika hivi punde baada ya mkutano mkuu wa 31 wa chama hicho kufunguliwa katika mji wa kaskazini wa Hamburg

https://p.dw.com/p/39gKZ