1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.10.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S7 Oktoba 2020

Marais wa nchi nne za kanda ya maziwa makuu wanashiriki mkutano wa kilele jumuiya ya kimataifa ambao uliitishwa na rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo// Mgogoro wa Armenia na Azerbaijan katika jimbo la Nagorno Karabakh unazidi kuitia wasiwasi// Shirika la Kimataifa la Kuzuia Matumizi ya Silaha za Kemikali lathibitisha Novichok yakutwa kwenye sampuli za Navalny.

https://p.dw.com/p/3jYhf