1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.09.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S7 Septemba 2017

Kenya inatarajia kurejea kwenye uchaguzi wa Rais, ifikapo Oktoba 17 mwaka huu// Kila mwenye uraia wa Ujerumani na aliyefikisha umri wa miaka 18 anahaki ya kupiga kura nchini Ujerumani tarehe 24 mwezi huu// Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo inaadhimisha miaka 20 toka alipofariki dunia Mobutu Sese Seko// Kongamano la kwanza la kimataifa la Kiswahili limefunguliwa leo Zanzibar.

https://p.dw.com/p/2jTgJ