1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.07.2015 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S09S7 Julai 2015

Miongo mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mjumbe mpya, katika gereza la Guantanamo, Lee Wolosky, ana miezi 18 tu ya kulifunga gereza hilo maarufu// Madai mbalimbali yanatolewa juu ya uhalifu unaotendwa na vijana wanaoitwa Imbonerakure nchini Burundi// Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia watoto (UNICEF) limetoa ripoti kwamba "Ajira kwa watoto: Ni mateso yaliyojificha katika mgogoro wa Syria"

https://p.dw.com/p/1FtpP