1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.06.2016 Matangazo ya Asubuhi

Mohammed Khelef7 Juni 2016

Miongoni mwa yaliyomo kwenye matangazo yetu asubuhi hii ni pamoja na kushindwa kwa jeshi la Iraq kuungana dhidi ya kitisho cha ugaidi, siku tatu baada ya kukamatwa kwa mwandishi wa habari nchini Burundi na bado hakuna taarifa yoyote kumuhusu, na uamuzi wa Rais Joachim Gauck wa Ujerumani kutowania tena wadhifa huo kwa muhula wa pili.

https://p.dw.com/p/1J1dv