07.05.2019 Matangazo ya Mchana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 07.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

07.05.2019 Matangazo ya Mchana

Kumekuwa na utata nchini Uturuki baina ya chama tawala cha AKP na chama cha upinzani cha CHP kufuatia kufutiliwa mbali kwa ushindi wa Meya wa Istanbul// Waandishi wawili wa habari wa shirika la habari la Reuters waliokuwa kizuizini nchini Myanmar wamechiliwa huru hii leo// Katika visiwa vya Komoro serikali imetoa uamuzi wa kukata asilimia 10 ya mshahara wa kila mtumishi wa serikali.

Sikiliza sauti 60:00