07.05.2019 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 07.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

07.05.2019 Matangazo ya Jioni

Mwili wa bilionea wa Kitanzania, DR Reginald Mengi umeagwa leo katika viwanja vya Karemjee jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na mamia ya wananchi akiwamo Rais John Magufuli// Wanaharakati wamekuja juu na kushinikiza wabunge kutoongezewa marupurupu yoyote// Huko nchini Tanzania serikali nchini humo, imesema kuwa hakuna watoto wanaokwenda shule wakitokea gerezani.

Sikiliza sauti 60:00