1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.04.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S7 Aprili 2021

Rwanda: Kumbukumbu ya miaka 27 tangu kutokea mauaji ya kimbari/ Nchini Tanzania kumezuka hali ya sintofahamu kuhusiana na agizo lililotolewa na Rais la kutaka vyombo vya habari vilivyofungiwa kufunguliwa mara moja/ Amnesty International yaeleza madhila yaliyosababishwa na Covid/ Janga la Covid-19 lazidisha ukiukwaji wa haki za binadamu/ Vienna: Mazungumzo ya kufufua mkataba wa nyuklia na Iran

https://p.dw.com/p/3rfcc