1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.03.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S7 Machi 2019

Mahakama kuu nchini Tanzania imempa dhamana mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo Chadema Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime mjini kwa tiketi ya chama hicho Ester Matiko//Maonesho ya utalii na hoteli ya mjini berlin yameingia siku ya pili

https://p.dw.com/p/3Ed7z