1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.01.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S7 Januari 2020

Wajumbe wa chama cha Democratic kukosoa hatua ya Trump ya kufanya mashambulizi yaliyomuuwa kamanda mwandamizi wa jeshi la Iran bila kushauriana na bunge/ Ujerumani: Kitisho kinachotokana na siasa kali za mrengo wa kulia hakiko karibu kudhibitiwa/ Barua kutoka Dar/ Hali mbaya ya ukame inatishia sekta ya wanyama pori nchini Afrika Kusini

https://p.dw.com/p/3VoHK