1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.12.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S6 Desemba 2021

Scholz ateua Baraza Jipya la Mawaziri Ujerumani/ Ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa inayohusika na amani SIPRI/ Kambi ya upinzani inavyosimamia suala la Mbowe/ Congo. Watu wanaokadiriwa kuwa 20 wamepoteza maisha kutokana na ugonjwa wa kipindupindu/ Zoezi la kuwaokoa wachimba migodi wanne waliokwama kwenye maporomoko ya mgodi wa dhahabu wa Abimbo jimboni Siaya nchini Kenya limeingia siku ya tano

https://p.dw.com/p/43uAL